Popular Now
Shule ya secondary Mtwala tech.

Shule ya secondary Mtwala tech.

Shule ya msingi kigera secondary. Musoma vijijini

Shule ya msingi kigera secondary. Musoma vijijini

Semina ya uwongozi wa kiroho Kwa Wana vyuo wa Mtwala na lindi

Semina. Ya uwongozi wa kiroho Kwa Wana vyuo wa Mtwala na lindi

content

Welcome to Injili KiDigitali

Injili Kidigitali hiii ni platform inayo husika na kutoa neno la MUNGU na uchambuzi wa mambo
mbalimbali yanayohusika na injili ya yesu Kristo na uchambuzi wa mambo
mbalimbali kama vile historia ya vitabu vya Biblia na watumishi mbalimbali wa
kanisa na kwenye biblia.
Pia tunashughulika na kupeleka injili sehemu mbalimbali ambazo hazifikiwi
kiurahisi kama vile mashuleni na sehemu za vijijini ambapo huduma ya MUNGU
haipo.
Pia tunasambaza vipeperushi mbalimbali vya injili.

 injili

Karibu uchunguze mahubiri yenye kutia moyo, muziki wa injili, makala za kiroho, ibada za kila siku, na rasilimali mbalimbali za kukuza imani zinazokusaidia kuimarisha uhusiano wako na Mungu. Ikiwa unatafuta kukua kiroho, kujifunza, au kushirikisha wengine Habari Njema, InjiliKiDigitali ni mahali pa kukukaribisha kwa furaha.

Ungana nasi tunapotumia teknolojia ya kisasa kueneza Ufalme wa Mungu na kugusa maisha kupitia nguvu na uzima wa Injili.

Our Resources

Uplifting Sermons

Powerful sermons to strengthen faith and guide daily living.

Gospel Music

Inspirational songs and playlists to lift your spirit.

Spiritual Articles

Thoughtful articles to deepen understanding and reflection.

Daily Devotionals

Short devotionals to start or end your day with spiritual focus.

Faith-building Resources

Study guides, tools, and materials to grow in your faith journey.